Jumanne, 12 Novemba 2013


'SIKU YA MLIPAKODI' Afisa Idara ya Forodha kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA Pemba, Abdalla Hassan akizungumza na wafanyabiashara kisiwani Pemba, kwenye mkutano wa kuwakabidhi vyeti ya ulipaji kodi bora, anae mwangalia katikati ni Afisa Mdhamini Wizara ya Fedha Pemba Bakar Haji (picha na Haji Nassor, Pemba)

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni