Jumamosi, 19 Oktoba 2013


'UTULIVU WAHITAJIKA'  WANAFUNZI wa skuli ya maandalizi ya Mkoani Pemba, wakiwa kwenye mashindano ya kujaza maji kwenye chupa, ikiwa ni sehemu ya sherehe za siku ya wazazi 'parents day' zilizoenda samba mba na mahafali yao ya kumaliza elimu ya maandalizi ya miaka miwili, sherehe zilifanyika skuli ya Ng'ombeni Mkoani Pemba. (picha na Haji Nassor, Pemba)

'HAPA HAPITI MTU' Wananfunzi wa skuli ya maandalizi Mkoani Pemba, wakiwa katika resi za mita 100, ikiwa ni sehemu ya sherehe za siku za wazazi, ambapo sherehe hizo zilienda samba mba na mahafali yao, baada ya kumaliza masomo yao ya miaka miwili ya elimu ya maandalizi (picha na Haji Nassor, Pemba)

Jumamosi, 12 Oktoba 2013

 


''HAPA SAFARI NO'

'NATIMIZA AHADI' KULIA ni Meneja wa hoteli ya Manta resort ya Makaangale Micheweni Pemba, Mathew Saus akimkabidhi Mwenyekiti wa wavuvi wilaya ya Micheweni Mkubwa Said Ali, dola 4000, sawa na zaidi ya shilingi 6.4 milioni za Tanzania, ikiwa ni kutimiza ahadi yao kwa wavuvi hao, mara ujenzi wa chumba cha CHINI ya bahari kitakapomalizika (picha na Haji Nassor 12.10.2013)

Jumanne, 1 Oktoba 2013

 'SASA BEI NZURI' WAANANCHI kijiji cha  Mjimbini mkoani Pemba wakiendelea na kuchambua karafuu za vuli

'NAANZIA HPA' Mwananchi ambae hakupatikana jina lake akitilia maji miche ya mikarafuu katika eneo la Mkata maini Wilaya ya Chake chake Pemba hivi karibuni.