'HAPA HAPITI MTU' Wananfunzi wa skuli ya maandalizi Mkoani Pemba, wakiwa katika resi za mita 100, ikiwa ni sehemu ya sherehe za siku za wazazi, ambapo sherehe hizo zilienda samba mba na mahafali yao, baada ya kumaliza masomo yao ya miaka miwili ya elimu ya maandalizi (picha na Haji Nassor, Pemba)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni